Aki na Ukwa(Paw paw) Kurudi katika uigizaji

Hawawezi kufurahisha kama walivyofurahisha walivyokuwa bado wadogo.

Now ni watu wazima, wataigiza kiutu uzima uzima.

Kipindi wewe unawaona kuwa ni wadogo, hawakuwa wadogo wewe! Sema walikuwa bado hawajapata hela lakini walikuwa tayari ni watu wazima kabisa, now wamepata pesa ndio maana unawaona walivyo! Wangekuwa huko ndichi/ushagoo na wakawa hawana hela wangeonekana vitoto tu!
Kwa hiyo kwa talent walizo nazo bado watafurahisha sana tu!
 
Kuna kipindi ilisemekana mmoja alifariki kumbe ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…