Alianza ruge miaka ya 2000 bifu mpaka leo,gadner kuna kipindi amamwandikia wanaume kama mabinti usiumee moyo na siri yangu,jamaa akajirudi,credo mwaipopo,mzee kimei baada ya kumtosa alipompa dili za tangazo crdb akamuandikia siku hazigandi,chidi beenz akamtolea wangu, na hii yahaya kamaliza na yule dogo wa radio one
swali kuna ulazima gani kutoa nyimba kila mtu anapoachana naye?