zamtaya_pr
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 140
- 45
Nmemfatilia kwa karibu treatment za afisa mkopo wa tawi la Mbeya Herieth kaberenge , nmeona jinsi anavyowanyanyasa, kuwatesa na hata kuwaweka chini ya ulinzi wateja wanaochelewesha Mikopo.siamin kama ni utaratibu wa bank yao lakin pia nmeshuhudia zaidi ya Mara 3 akiwaambia wateja wanaochelewesha rejesho wamlipie na bajaji kwa Nguvu.Najua meneja hajui nn kinaendelea kwa sababu ya system yao waliyojiwekea ya kuzuia wateja kumuona meneja kuwasilisha malalamiko yao.Huyu Dada hana ubinadamu kabisa na amekua akiwatukana hata watu wenye umri sawa na wazazi wake.
Ushauri wangu kwa management ya tawi ni kumuweka chini huyu Dada Ili abadirike, mfanye biashara.
Huku mtaani bank yenu inaonekana kama kambi ya jeshi kwa sababu ya sumu Kali inayosambazwa na huyu Dada.
Hivi huyu Dada
1.mwenyeji wa WAP?
2.elimu yake?(chuo alichosoma)?
3.ana wazazi kweli?
4.anajua maana ya customer care?
5.experience yake kazini?
6.anaijua Mbeya vizuri?
Mwisho namuomba abadirike, kuna Leo na kesho!.
Sent using Jamii Forums mobile app