Akiba commercial bank SIM-banking

Akiba commercial bank SIM-banking

zitafute

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
23
Reaction score
19
Wanajukwaa naomba msaada nifahamishwe jinsi ya kujiunga na huduma ya mobile banking ktk benki ya ACB. Nikipata msaada mapema ntashukuru maana it's kind of an emergency
 
Ngoja waje hapa hapa utapata kwa kuwa
umesema ni dharura ila weka wazi ni
dharura gani isijekuwa......... ya mtu.
 
Wanajukwaa naomba msaada nifahamishwe jinsi ya kujiunga na huduma ya mobile banking ktk benki ya ACB. Nikipata msaada mapema ntashukuru maana it's kind of an emergency

Sijakuelewa Mkuu, tatizo lililopo ni kwamba mi niliingiza pesa kwenye akaunti yangu kupitia M-Pesa ila muamala haujafanikiwa
 
Back
Top Bottom