Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Hii wala haihitaji aya nyingi ili ieleweke, ni maneno machache ya kutufanya tubadili mindset zetu kwenye kuweka akiba.
Unapata hela unataka uitumie umalize shida zako ikibaki elfu tano ndio ukaweke kwenye simu, hapo ni marktime tu unapiga, akiba inatakiwa iwe ya kwanza unapopata hela halafu inayobaki ndio upambane nayo itoshe, ukifanya mtindo huu kwa uaminifu kwa muda angalau wa miezi sita unaweza kujipata una kiasi kikubwa cha akiba kuliko yule anaesubiri hela ya mwisho ndio akaweke na kama haijabaki atasema hata kesho nitaweka ukitahamaki ni mwaka umeisha tunaingia kwenye stories of change ingine.
Mwandishi wa kitabu cha tajiri mkubwa wa babiloni anatufundisha kuweka walau 10% ya pato letu, unaweza ukaweka zaidi ya hapo kulingana na kipato chako lakini walau hiyo iwe ni minimum, ukiweza kuanzisha kimradi kingine kutokana na hiyo akiba napo utaweka hivyohivyo ambapo sasa utajikuta una akiba mara mbili, huku na kule pa mwanzo, yote kwa yote mwisho wake ni uaminifu wako mwenyewe kujiwekea akiba maana hayo ni maisha yako.

Upvote
4