Akienda Rais Samia ndiyo atabadili nini labda kwa tukio lililotokea?

Akienda Rais Samia ndiyo atabadili nini labda kwa tukio lililotokea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili Kariakoo muda huu kwa ajili ya kujionea hali halisi ya zoezi zima la uokoaji ambao unaendelea na kuzungumza na wananchi wa Kariakoo.

Chanzo: manaratv

Angerejea kutoka Ziarani Brazil Siku ile ile ya Tukio ndiyo ningeona ana Uchungu ila kamaliza Kula Bata ndiyo karejea.
 
Ni Maumivu for sure nimeamini serikali haina uchungu na kifo Cha raia yeyote watakao umia ni wale pekee ambao Ulio kua una share nao affection wanao kupenda ni Hawa tunao SHINDA nao piga story now kula nao, hata hao jw, police,uhamiaji,zimamoto hawana uchungu na hili janga zaidi ya Wana kariakoo wenyewe.
 
Kwenye hii comment umeongea jambo zito sana na la muhimu. ndio maana nasema siasa na unafik ni mtu na pacha yake.
 
Back
Top Bottom