Akijifanya anakupenda we jifanye unamwamini unafiki ubaki pale pale 😂

Akijifanya anakupenda we jifanye unamwamini unafiki ubaki pale pale 😂

Ejolisi

Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
57
Reaction score
87
Uungwana ni kwenda na flow mtu anakudanganya we mtazame tabasamu ooh babe unajua siwezi kukucheat itikia sawa, anakusaliti kusanya data zako kaa kimya siku unalipua bomu "CAN WE TALK" hakuna haja ya kuwa na stress.

Aya mapenzi ni maradhoni sijuw watu wanatk nn ukionesha kumpenda mtu unaanza kuoneka jobless, huna kazi maalumu ya kufanya, shobosika, CIA mfatiliaji , ukifata mambo saiv unipendi una mtu mwingine umebadilika sana.

Kuna kitu dunia inapambana ku normalize kwenye mahusiano na haiwezekani kamwe " uongo cheating" na demand zisizo na kikomo ooh men don't like this men don't like men don't like that, women need this and that shut up.

Jinsi ambavyo mahusiano na ndoa zinafanywa complicated wengine watakua watazamaji tu hakuna tena upendo demand ziko mbele kuliko upendo wanaotushauri tuvumilie wao wenyewe hawavumilii 😂😂 wazazi wetu na waliotutangulia wanalalamika na kutoa comparison ooh unajua sisi miaka yetu ilikuwa hivi hakukuwa na hivi tu iyo ni solution sasa?

Me naona tu kikubwa tafuta amani ya moyo chase your dreams be proud to your mama, walio oa na kuolewa wana depression wanaume hawasemi ila wanawake hawawezi kukaa kimya wanaropoka tunasikia hata wasioongea sura zinaonesha.
 
Dah mkuu, umeandika kitu cha maana sana katika lugha rahisi sana

Nashukuru kwa kunikumbusha namna ya kuyaendesha mahusiano ya siku hizi yaliyojaa utapeli,wizi ,uongo,tamaa , na ujanja ujanja usio na maana

Naungana na ww kwa 100% bora kuzipambania ndoto zako
 
Ndo ivo just choose your poison kabla ujasikiliza maushauri jiangalie unataka nn
 
Back
Top Bottom