Akikosolewa Alikiba sawa, ila akikosolewa Diamond chuki!

Sawa Mkuu... Yote Tisa, 10 tutaona ipi itakua SMASH HIT, by the way Diamond akipata, Kiba akipata hazinamanufaa kwangu... As the matter of fact Mimi siko Team yeyote Kati ya hao.. Kazi kwako Timu Kiba.. Nyinyi endelee kuangalia hiyo Lupelo bus coach CCTV na wao waangalie Trace, MTV, bet na Mwisho wa siku itafahamika who is the super star.. Siku zote Nyekundu itabaki Kua Nyekundu tu mpaka siku ziwa Victoria linakauka.
 
Imeniuma sana kuniweka katika Kundi la Nyumbu... Am coming after you bro.. Get already...
 
Hii track ya Diamond ni ya kawaida na sijaona impact ya kumshirikisha AKA while ameimba badala ya Kurap.Sometimes kufanya collabo inabidi uangalie msanii ambaye mta-match nae.Mfano
Diamond +Davido
Diamond +Flava
JMakini +AKA
Hii track ya A.K.A amemshirikisha Diamond
 
Kiba ameanza mwaka na mguu wa kushoto kimuziki. Labda tusubiri 2017, maana dalili zipowazi keshapoteza 2016.
 
Kuna tofauti ndogo kati ya mashabiki wa Diamond hapa JF na mashabiki wa Wema Sepetu Instagram,kuthibitisha ninayosema nenda kwenye special thread ya Make me Sing haaa haaa sisi ambao ni mashabiki watazamaji tu tunaishia kucheka aseeeee.
 
Kuna tofauti ndogo kati ya mashabiki wa Diamond hapa JF na mashabiki wa Wema Sepetu Instagram,kuthibitisha ninayosema nenda kwenye special thread ya Make me Sing haaa haaa sisi ambao ni mashabiki watazamaji tu tunaishia kucheka aseeeee.
sijui ni mimi tu peke yangu ambae cjakuelewa!
 
Ushabiki viazi. Diamond kabebwa na AKA kwenye huo wimbo na video pia kuweni wa kweli.
Ili nijue kweli unajua unachoongea niambie unaweza kupimaje kubebwa kwa Diamond kwenye huo wimbo. vigezo na masharti vizingatiwe.
 
Tatizo ushabiki maandazi tu wengine ikibadilishwa verse kidogo tu ikawa kiingereza hta maana yke hawajui ila ndio watashabikia verse tamu kumbe hta kilichoimbwa ukiwauliza hawajui
Unaweza usijue kilichoimbwa lkn ukaielewa mdundo na mpangilio wa sauti barabara, taratibuuu utajikuta unaanza kuchezesha mguu mara kichwa na nyimbo ikaingia kumoyo, asikwambie mtu mziki issue nyingine. Unakumbuka ule wimbo wa mama sita senorita watu tunabanjuka tu lkn kispanish sijui kinini hatukijui
 
Yani nilikua na-expect wimbo wa Make Me Sing utakua na beat ya ukweli...like a song you wanna dance to. Sasa wimbo wenyewe sijui wametumia kinanda tu yani unaboa! It makes me wanna sleep.
#teamgoodmusiconly.
 
Tatizo ushabiki maandazi mwingi na ile timu timu isiyokuwa na maana..."always am support the good music alive" kukosolewa kwa mwanadamu ni kawaida chukua makosa kayafanyie kazi...mbona kiba wamemkosoa sana huyo diamond ni nani mpaka asikosolewe.
Diamond ni make me sing
 
Kumbe bado kuna vita vya team mond na team kiba??

Anyway endeleeni na yenu,acha mm niendeleze vita na Van Gaal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…