Akikuomba na wewe muombe. It's about Win Win Situation

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Naanza kuamini inawezekana mie sio wa kike manake napenda ukweli kuliko kitu chochote

Mtu akinidanganya na nikaja kujua huwa najiona bwege kinyama
Huwa hamuupendi ukweli,na hamjui kuwa hamuupendi. Mtu akitaka kukuchezea unaweza kataa,ila akija na ahadi kemkem za future utakubali....unakubali uongo na kukataa ukweli.
 
Tulipo fika pabaya sana[emoji23][emoji23].

Biashara imetawala kila secta, imetawala mpka mambo ya kijamii.

Nawaonea huruma sana kizaz kijacho, sjui kama watakuja kupata na kuonja radha ya Upendo wa kweli usiojali vitu wala mali.

Hovyo kabisa
 
Kilichomponza Mandonga ni kusema ukweli kuwa Atampiga Shabani kaoneka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…