Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho kwa dk kama tano alafu anapata nafuu.
Hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo tukabadili hospital ma Dkt. bingwa wesema haumwi chochote.
Dr bingwa amepima akasema hakuna tatizoPoleni, inawezekana ikawa ni kututumka kwa njia ya chakula/gastritis.
Akila chakula cha moto, chenye muwashawasha kama tangawizi, nyanya, ndimu, limao au chenye chumvi kiwambo cha kifua/dayaflamu kinabana anakosa hewa, anakosa nguvu na moyo kwenda mbio.
Ingawa, bado historia zaidi na kumkagua mgonjwa vinahitajika.
Daktari bingwa wa njia ya chakula/gastroenterologist atakuwa mwenye msaada zaidi.
Hakuna tatizo kwenye vyoteKifua wameagalia kuna nin xray au ecg
Dr bingwa amepima akasema hakuna tatizo
Moyo ECG na kifua Kwa ujumla , tumbo wamepima figo hiyo ilikuwa bugando hatukuridhika tukaenda Kwa mabingwa wengine private nao wanasema hakuna kitu..lkn akianza kupata maumivu baada ya kula anakakamaa na dalili za degedege Kwa dk tanoAlipimwa nini?
ECG, FIGO tumbo na vingine vingi qalivuoona wao siwez kuviswma Sina utaalamuAina ya vipimo alivyopimwa?
ECG, FIGO tumbo na vingine vingi qalivuoona wao siwez kuviswma Sina utaalamu
Dkt. bingwa karusha kitauloDkt. bingwa wesema haumwi chochote.
Akimeza chakula au akila chakula?Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho kwa dk kama tano alafu anapata nafuu.
Hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo tukabadili hospital ma Dkt. bingwa wesema haumwi chochote.
Akila Ikipita dk chache tu hali inaanzaAkimeza chakula au akila chakula?
Tupe majibu tafadhari.Na Leo tuko Kwa bingwa mwingine tupo tunaosubiri majibu hapa
Wamesema ni sononaTupe majibu tafadhari.
Anaweza kuwa na GERD kama ulivyosema..Hiyo huenda ikawa acid reflux au wanaita Gastroesophageal reflux disease (GERD)
Mimi si daktari lakini mwezi wa 4 mwaka huu nilipata hali ya kufanana na hiyo vipimo vyote hamna kitu.
Katika pitapita zangu nikagundua ni hiyo shida ila kwa sasa niko sawa
DR Mambo Jambo msaada zaidi mkuu.