Akilala anawaota ma-ex wake


mi sizani kama mtu kumuota mpenzi wake wa zamani itapelekea ndoa kuvunjika...so GM hebu weka wazi hiyo ndoa ni ya msikitini, kanisani, bomani au ya mkeka?
 
mi sizani kama mtu kumuota mpenzi wake wa zamani itapelekea ndoa kuvunjika...so GM hebu weka wazi hiyo ndoa ni ya msikitini, kanisani, bomani au ya mkeka?

GC,

Hii ndoa ilikuwa ya bomani, nafikiri ndio detail ulikuwa unataka, kwa kifupi waliishi pamoja kama mwaka hivi kabla ya ndoa kisha wakaenda kufanya kweli bomani.
 

Mkuu GM,

Ndoto mabozo mara kwa mara zimekuwa zikijirudia kwa kiaalamu wanaita "Recurring Dreams": www.dreammoods.com/dreaminformation/dreamtypes/recurringdreams.htm


Recurring dreams are quite common and are often triggered by a certain life situation or a problem that keeps coming back again and again. These dreams may recur daily, once a week, or once a month, but whatever the frequency, there is little variation in the dream content itself. It usually points to a personal weakness, fear, or your inability to cope with something in your life - past or present.

The repetitive patterns in your dream can reveal some of the most valuable information on yourself. It may point to a conflict, situation or matter in your waking life that remains unresolved or unsettled. Or some urgent underlying message in your unconscious is demanding to be understood.

Following are some tips in overcoming your recurring dreams ambazo unaweza uka-share na huyo rafiki yako.

1. In understanding your recurring dream, you must be willing to accept some sort of change or undergo a transformation.

2. You must be willing to look within yourself and confront whatever you may find no matter how difficult it my be.

3. You must be able to look at the dream from an objective point of view. Try to get pass the emotional and reactive elements of the dream and get down to the symbolic images. Many times dreams are masked by elements that are disturbing preventing you to delve any deeper. This is a defense mechanism that your unconscious may be putting up.

4. Be patient. Do not get discourage if these dreams still recur even after you thought you have come to understand them.

5. Learn to accept yourself truly and fully.

Often times, once you discover what your recurring dream is trying to tell you, these dreams will change or altogether disappear.

Sina uhakika kama kaamua kumuacha mke wake itasaidia kumaliza hizo recurring dreams zake na wala sijui kama akioa mke mwingine ataacha. Dreams are not really thing, unless kama he was doing it na hao ma-Ex wake. I think he must get down to reality of dreams and try to work out. Alifanya vizuri kumweleza mke wake juu ya dreams kwa kuwa hiyo ilikuwa ni stage muhimu ya ku-explore. I beliave angeendelea kujidiscover ndoto hizo zingepotea kama mwanataaluma anavyotuambia hapo juu in numbe 5. Bolded.
 
another good thread from our files
 


Bubu za siku nyingi??? umeadimika kama mkojo wa kuku???? i like that part in red....duh tungekuwa na uwezo...we acha tu....
 

Chief Mtanzania
Naomba nisaidie hapo kwenye RED, ni wataalamu gani hawa, pengine inaweza kuwa suluhisho kwa hii ndoa bwana!!
 


huyu nimskule anaitaji kurudishwa njoo ufufuo na uzima mwambie awahi mapema kuna sala ya kurudisha ufahamu na nyota zao..kashachukuliwa huyo siyo yeye
 
Mjifunze kutunga hadithi badala ya kuwa warongo
 
GM,sometimes prayer can help to get rid of it,if something have been done through his past experience especially kama aliwahi kumtenda mtu.Vinginevyo labda bado ni kiwembe so anakuwa anawafikiria hao wapenzie muda wote,anahitaji kubadilika.
 
wataalamu wa kiroho,,,,,,,,,sidhani kama anamaanisha kina Prof maji marefu!:confused2:
 
Atakuwa hajawafunika hao ma ex bado...! Yaani kwa namna moja ama nyinigne hajawafikia. Ajaribu kumsikiliza mwenzie akiota kwa makini, huenda akajua penye mapungufu, then ajazie....!
 
ndoto siku zote huwa ni mawazo, kile ulichokiwaza sana huwa ndo ndoto,hivyo huyu mama yaonekana anawawazia hawa jamaa so muonye akishindwa achana naye.
 
aaah huyo muotaji ni lazma anaendelea na hao jamaa zake yaani ma ex wake ama sivyo bado anawatamani sana hao ma ex wake na siku akikutana nao ni lazma wale katunda chembaa aaaaah hahahahhaaaaa teheeteheeee mapenzi bwana noma sana unaweza ua mtu kabisa hasa wanawake sijui wakoje hawatulii kivile bora wanaume wake za watu wanatunguliwa sana tena na watu wa ajabu ajabu tu huwezi amini
 

Duh...Leo nilikuwa ninasoma kitabu kimoja cha Dr. Israel Wandamba anazungumzia situation hii, anasema hii ni dalili ya mtu aliye kwenye agano la ndoa ya pepo mahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…