Akili bandia kutumika kwenye ukuta majumbani

Akili bandia kutumika kwenye ukuta majumbani

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Apple Iko karibu kuweza kutambulisha product yao mpya sokoni ambayo inaitwa wall- mounted display imeundwa kwa ajili ya kuweza ku control nyumba yako.

Kifaa icho kimepewa jina la code name J490, kikiwa na uwezo wa ku support video calls, ku control shughuli mbalimbali za nyumbani kuanzia Taa, Tv, Sabufa, security camera kikiweza kuingiliana Siri bila kusahau Teknolojia ya AI ndani yake.

Pia kwa ndani kitakua na kamera, betri la kuchaji , apple web browser , Music playing na uwezo wa kutumia app ya notes kuandika details mbalimbali na calendar.

"Hii ni tablet ambayo unaiweka kwenye ukuta ikiwa na 6.7inch Pamoja na rangi ya silver na black ikiwa na sensor yenye kumtambua muhusika" alisema Tim Cook mkurugenzi mkuu wa Apple.

Gharama yake ni $1000

#apple #appletech #technews #Fahamu #bongotrending #technologynews #technology #appletips #TechnologyInnovation
 
Back
Top Bottom