So what is bahati?maana huwa nasikia kama huna bahati mbaya basi huna bahati kabisa,Nachoamini:Mtu huzaliwa na akili yake,its inborn....,wenzetu nchi zilizoendelea WALISHAACHA kufikiria masuala ya bahati,wao ni watendaji,na wakifanya juhudi wanafanikiwa,hebu jiulize kwanini China wanafanikiwa kitekinolojia na biashara,au wao wana bahati sana?,kama ulifaulu form 4 wewe ulikua na juhudi na huenda hukugusa hata akili uliyozaliwa nayo,fundi selemala akitengenenza kabati zuuuuri likapendwa kwa sababu ya ubunifu wake na akafanikiwa hapa katumia kitu tunaita MAARIFA,na sio bahati,so wengi wetu tunatumia akili zetu mara chache sana,na wengine hawatumii kabisa,ila wengi tumatumia MAARIFA TULIYOJIFUNZA na UZOEFU(experience),na tunafanikiwa katika hayo kutokana na AKILI au MAARIFA(knowledge)na sio Bahati....i stand to be corrected