Ipe uzito comment ya Mchana Jr. Hawa watu akili ni zero.Hivi karibuni kumekuwepo na Kesi ya ,
Sasa katika uendeshaj wa Kesi hii kumekuwepo na mapungufu mengi, kuanzia Offisi ya mwendesha Mashtaka, na ma mashahidi wenyewe, kiasi kwamba Nina jiuliza hizi akili na Mali tunazo zichezea kwenye Kesi hii nikuonyesha ukomo wa akili zetu au , bado tunamatumaini ya maendeleo kutokana hizi akili
Ukitizama kwa makini mienendo yao Mahakamani, ni wazi kina Katuga wameshachoka. Yaelekea lugha kati yao na waandaaji wa ule mchongo wa uongo imeshakuwa gongana.Hivi CJ ameamua kabisa kwa akili zake timamu kuwadhalilisha majaji wanaosikiliza kesi ya Lissu? Wamemkosea nini jaji mkuu au serikali hadi wabagazwe na kina Katuga?
Niwasihi majaji wale wajitoe tu kwenye kesi hiyo ili kulinda heshima yao.
CJ, waelekeze majaji wako waipige chini hiyo kesi ya Lissu kwani inawaharibia heshima zenu kwa jamii.