Akili ndogo imeshinda

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
Jana nilikaa na mwanangu wa miaka 4 na ushei hivi,nilizungumza na kucheka nae kitoto,niligundua anajua mambo mengi ya ulimwengu huu wa digitali,likanijia wazo la kumuhamisha chumbani kwangu ili alale pakee yake.

Nilimueleza kuwa amekuwa mkubwa na anatakiwa alale peke yake .Nilimueleza kuwa amekuwa mkubwa hapaswi kulala pamoja na baba na mama.Nilimueleza mambo mengi yanayohusiana na ajenda yangu.

Baada ya maelezo yote hayo niliyomueleza kwa upole.Nilipigwa na butwaa pale aliponiuliza "Mbona wewe dady ushakuwa mkubwa na unalala na mama"?









Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka minne bado mnalala naye [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa hilo swali anaanza kuota mapembe...soon mtakuwa wanaume wawili ktk nyumba moja

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Watoto wengine walimuuliza baba yao hivi unasoma darasa la ngapi?Mzee akawauliza kwanini?

Wakamjibu Maana mara kwa mara tunasikia unamwambia Mama naenda la 2 au la 3 hilo mama Bea,so hatuelewi unaposoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anajua unachomfanyia mamake, ameogopa tu kusema wewe ndio uhame chumba maana una lala vibaya unamlalia mama ake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…