Tunaweza kugawanya watu katika makundi matatu kulingana na kiwango chao cha ufahamu.Swali linakuja: Kwa nini baadhi ya watu wana ufahamu wa juu na wengine wa chini?
Hawa ni watu ambao maisha yao ni kama yanawaendesha.
- Wale wasiojua wanachokifanya (Low Awareness)
inachangia, Kuna watu wanazaliwa na ufahamu wa juu, kisha wanakutana na mazingira na malezi ya wazazi wao.Nature/Nurture.
Hili ni kundi kubwa la watu. Wanaweza kuwa na kazi, biashara au elimu fulani, lakini bado hawaelewi kikamilifu jinsi mfumo unavyofanya kazi.
- Wale wanaojitahidi lakini wamenasa kwenye mfumo (Average Awareness)
Ni kweli kabisa, kujifunza ni muhimu sana ili kupata ufahamu.kijifunza.bila kujifunza huwezi kuwa na ufahamu wowote.
1.Genetics,.......kama tu ilivo wewe una mkono mkubwa ama mdogo,una rnagi tofauti na mwenzako basi hata Emotional intelligence yako wewe na wengine inatofautianaKuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.
Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu
ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo,
na kutumia maarifa yao kwa ustadi ili kupata wanachokitaka maishani.
Swali linakuja: Kwa nini baadhi ya watu wana ufahamu wa juu na wengine wa chini?
Tupe mtazamo wako!
Mazingira yanamchango mkubwa sana katika maendeleo ya akili na ufahamu.1.Genetics,.......kama tu ilivo wewe una mkono mkubwa ama mdogo,una rnagi tofauti na mwenzako basi hata Emotional intelligence yako wewe na wengine inatofautiana
2.Mazingira
Kuna mtu anazaliwa na kulelewa na walezi walio na ufahamu mkubwa mno wa maisha anajikuta anaadapt
3.Shule,Vyuo........kama Kibaha,Mzumbe,Ilboru,Feza,.....IST etc,Wanawaitrain wanafunzi wao kua above average,kuthink above the border,...........vyuo kama Harvard,Stanford etc vinafuata hio njia,Kwa bongo vyuo vingi ni sehemu za kukalili TU