haya yote ni hitimisho la kauli ya hayati Mwl Nyerere J.K, kwa vitendo dhahiri. Tar 12-05-1995 pale makambako alisema "bila CCM madhubuti Tanzania itayumba" myumbo wa hii nchi yangu umesababishwa na uongozi mbaya usiozingatia ethics za kiutumishi, ndo maana kila mtu anafanya anachotaka na kutuumiza wananchi, hata uongozi kutokuwa na kauli moja ktk wizara 2 zisizohusiana (elimu na ulinzi) kufanya maamuzi kwa mtu mmoja(mwanafunz)ni kuyumba.
Tuacheni tuamue wenyewe, mbona tunapoomba nafac za kaz jkt tunashuhudia urasimu? leo tuna umuhimu sana?, mbona kitaa kuna wana kibao hawana la kushika hamuwatazami,
Adui mkubwa wa mwanadamu ni UJINGA, sio kutokuwa mkakamavu.
Falsafa ya Plato izingatiwe, goldenerz, silverz na jkt the ironers