Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Utajitambuje Kama Una akili??
KWA mujibu wa Mwanasaikolojia mwenzangu Howard Gardiner aliandika kuwa binadamu wanatofautiana kiakili kila binadamu anauwezo wake katika kufikiri.
Sasa ndugu mpenzi wa Jamii Forums, utajitambuaje kuwa wewe unaakili kiasi gani? Wewe na wenzako munatofautianaje katika kufikiri? Kulingana na akili uliyonayo unatakiwa uwe nani na uishije katika dunia hii?
Jibu la maswali hapo juu ni kwamba ili kujitambua akili yako unatakiwa kuwafanya mahesabu ya akili yako. Na kwa mujibu wa Gardiner unatakiwa kufuata fomula hii hapa chini:
Chukua Akili ya Umri wako gawanya kwa Mtiririko wa Umri wako na Zidisha kwa Miamoja = Akili yako.
Akili= Mental Age (MA) x 100
Chronological Age (CA)
Kama mental age ni kubwa kuliko chronogical age jua kuwa akili yako iko juu zaidi ya kawaida, kama mental age iko sawa na chronological age jua kuwa akili yako ipo katika hali ya kawada na kama mental age iko chini ya chronological age jua kuwa akili yako iko chini ya kawaida.
Sasa jitambue wewe uko katika hali gani jifanyie uchunguzi ili kujitambua zaidi fanya mahesabu ya kujua akili yako ili uweze kujikonturo na maisha, jiwekee malengo kwa kufuatana na uwezo wako wa kufikiri.