Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

Mimi naomba nijulishwe ni kitu gani mwanaume anatakiwa apate kutoka kwa mwanamke kwenye mahusiano(what women should bring to the table)

Sijui kwakweli nimechanganyikiwa
Emotional support, Nurturing, Assertiveness, Courage and so many others. Sex become second one from the end, pesa ya mwanamke usiwazie kabisa.
 
The bitter truth.
Lakini tarajia kupopolewa mawe ya kutosha sana, Jiandae kisaikolojia.
 
Umeandika ukweli ila tatizo lako ni ku-generalise, hatufanani mkuu mimi miaka mingi ila sijawahi kuwaza kuajiriwa na vyeti mpaka leo sijavofuata chuoni.
Then wewe ni exception ya wengi. But wengi wapo hivyo.
 
Swali la msingi la kujiuliza siku zote, How can i increase my value ?

sio kwa kukaa dressing table masaa matano my dear
Wao huwa wanapima value kwa kuwa na ngozi nyororo, tako ndio maana vikipanda pikipiki vinajibidua utadhani amevunjika kiuno, na kugawa tigo. Hakuna la ziada.
 
Mimi naomba nijulishwe ni kitu gani mwanaume anatakiwa apate kutoka kwa mwanamke kwenye mahusiano(what women should bring to the table)

Sijui kwakweli nimechanganyikiwa
Umeuliza swali zuri sana.

Mwanaume kazi yake ya msingi katika jamii ni kuongoza na kuimarisha ustawi bora wa jamii. Ili hili liwezekane anahitaji msaidizi ambaye wataweza fanya majukumu ya kustawisha jamii bora.

Mwanamke ambaye ana qualify kuwa msaidizi wa mwanaume sifa yake kuu anayotakiwa kuonyesha kwa mwanaume ni utii kwa mambo positive na sio negative ya mwanaume wake.

Wanaume huwa wanauliza hili swali la what you bring to the table sio kwa maana kuwa kuna kitu wana expect kwa mwanamke alete kwenye table la hasha.

Hili swali limeanza kuulizwa kama challenge kwa wanawake wanaojilinganisha na wanaume katika mahusiano.

Ni sawa na mtoto wa kiume ambaye amebalehe kumwambia baba yake kuwa kwann yeye baba ndie anarudi nyumbani usiku, anawekewa chakula na anawapangia kila mtu utaratibu ndani ya nyumba ila yeye mtoto wa kiume akichelewa kurudi anafokewa, akichelewa chakula hawekewi kwenye vyombo vya pekee yake anakwenda kuchukulia jikoni kwenye masufulia,na anachotaka kifanyike hapo ndani kama kuamua nini kipikwe hasikilizwi?

Wadhani baba atamuuliza swali gani huyu mwanawe, atamuuliza, "wewe unaweka unalipia kitu gani hapa ndani?" Mimi baba yako nalipia kuanzia bills za umeme, maji, kodi, nauli, chakula,mavazi, taka, ulinzi, internet, king'amuzi, mitoko ya weekend,ada,kutuma hela kwa babu na bibi, kulipia matibabu na kuwapa pesa za matumizi yenu binafsi, wewe unaweka nini mezani?

Umeona sasa?

So kimsingi hili swali huwa haliulizwi kwasababu mwanaume kuna kitu anataka mwanamke atoe bali ni swali la mtego la kuwachemsha wanawake akili wajitathimini kuwa umuhimu wanaojipa haulingani na majukumu wanayobeba, wanataka kupewa heshima ya mwanaume ili hali hawafikii uwezo wa kubeba majukumu wa mwanaume hata kwa 5%. Wao huwa wanadhani majukumu ya mwanaume ni huishia na kulipa bills ila wanaona sasa familia za single mothers watoto wanakuwa na hali gani ingawa mama anahela na analipa kila kitu mwenyewe bila baba. So it goes beyond paying bills.

So finally, kukujibu, hakunaga kitu mwanaume ana expect mwanamke alete mezani, sababu vyote anavyotaka anavyo anachotaka yeye kama mwanaume ni mwanamke mwenye utii na ambaye anajua nafasi yake, yeye atakampa majukumu kulingana na aina ya maisha wanapanga kufanya. Ila dio kulingana na mwanamke anataka kufanya nini kwa mwanaume.

So basically a woman brings nothing to the table only good manners and good home trainings the rest mwanaume atamuelekeza.
 
Hii ni two in one umeamua kufanya bandika bandua kiongozi Zemanda

Juzi nimepiga stori na finalist wamemaliza UE zao nikajisemea ngoja tuwape muda kidogo kitaa tuonane Februari mwakani
Hapo wamenunua kabisa suruali za vitambaa na moka tayari kuwa mameneja wa kampuni kubwa itayowalipa milioni 5 kwa mwezi kama mshahara wa kuanzia kazi.
 
Hapo wamenunua kabisa suruali za vitambaa na moka tayari kuwa mameneja wa kampuni kubwa itayowalipa milioni 5 kwa mwezi kama mshahara wa kuanzia kazi.
Wapi K/koo uwinga ndio umeneja?
 
Sms sent....
 
ina maana mkuu nisipande bolt na mvua inanyesha sababu mimi ni graduate?
Nishawahi kwenda interview nimelowana ilikua inanyesha mvua ile ambayo haikati inabidi nitoke mabibo to kinondoni, bahati interview ilihamishiwa posta tukafanya jioni.
 
Hivi kwa jinsi utandawazi ulivyo hivi bado kuna wanaomaliza vyuo wakitegemea kupata ajira na wanaobehave kama mleta uzi??

Kwaabinti hao wapo kweli, na ni viburi wasiosikia lolote.
Ila kwa hawa graduates kama wapo basi ni hasara sana kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…