Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

HAwa wanawake wanapenda maisha ya kipato cha juu bila ya kufahamu kinapatikana vipi

Mnamo mwaka 2023 kulikua na mdada wa chuo cha IFM alikua anaonekana kaka high class na mtu wa brand sana kama vile hotel kali pia code kali lakini ukifwatilia ni chovya mmoja hivi

Ndani ya mwaka huo tulifanikiwa kukutana mtaa kipindi yupo likizo

Sikuamini pia nilicheka sana kipindi ambacho nilimkuta yupo kwenye baiskeli ambayo haina hata breki yupo ndani ya kanda mbili huku miguu yake ikiwa imetapakaa vumbi qakati huo nipo kwenye pikipiki aina ya boxer tvs number E ikiwa haijatimiza hata mwezi😁

KUbwa kuliko ni pale ambapo aliniuliza location nilipo nikajibu kua nipo geto ndipo nae akaamua kuniomba aje nyumbani ili aweze kuangalia matokeo ya chuo

Mods;wasije wakaunganisha comment na uzi wa kimasihara😁
 
Umeandika ukweli ila tatizo lako ni ku-generalise, hatufanani mkuu mimi miaka mingi ila sijawahi kuwaza kuajiriwa na vyeti mpaka leo sijavofuata chuoni.
Ila hiyo sio main hoja yake
 
ina maana mkuu nisipande bolt na mvua inanyesha sababu mimi ni graduate?
Nishawahi kwenda interview nimelowana ilikua inanyesha mvua ile ambayo haikati inabidi nitoke mabibo to kinondoni, bahati interview ilihamishiwa posta tukafanya jioni.
Kwa dharula haina shida, balaa ni ile kuassume life.
 
Hivi kwa jinsi utandawazi ulivyo hivi bado kuna wanaomaliza vyuo wakitegemea kupata ajira na wanaobehave kama mleta uzi??

Kwaabinti hao wapo kweli, na ni viburi wasiosikia lolote.
Ila kwa hawa graduates kama wapo basi ni hasara sana kwa taifa.
Wapo kibao mzee ukitaka wajua itisha interview ya nafasi mbili za kazi wanakuja laki moja.
 
Ila hiyo sio main hoja yake
Na ukitaka kujua ana tatizo la kusoma na kuelewa alichosoma tazama chini niliandika kabisa msisitizo kuwa huu uzi hauwalengi wahitimu kwa maana ajenda kuu ni kuongelea wanawake.
 
Umeandika ukweli ila tatizo lako ni ku-generalise, hatufanani mkuu mimi miaka mingi ila sijawahi kuwaza kuajiriwa na vyeti mpaka leo sijavofuata chuoni.
We we kama mm Nina mwaka wa 9 ile kumaliza tu mitihan ya uhitim toka siku hiyo sijakanyaga tena hiko chuo na sijui kipoje kwa sasa japo kuwa ni kilmeta 7 toka nilipo
 
We we kama mm Nina mwaka wa 9 ile kumaliza tu mitihan ya uhitim toka siku hiyo sijakanyaga tena hiko chuo na sijui kipoje kwa sasa japo kuwa ni kilmeta 7 toka nilipo
Mimi sijui GPA ni lipata ngapi? Hu ni mwaka wa 18 na sioni uwezekano wowote wakukihitaji kwanza nikifanyishe kazi gani?
 
Wapo kibao mzee ukitaka wajua itisha interview ya nafasi mbili za kazi wanakuja laki moja.
Kuja laki sio kwamba wana hizo mindset ulizoandika ila ni vile wanasaka fursa..

Ila changamoto yao kubwa ni kudharau mishahara wakati wao hawana hata pa kuanzia..
 
Uzi wako ni mzuri lakini sio sana. Usipende kugeneralize. Hii ni tabia mbaya na haifai. Kwa kufanya hivyo uzi wako haujengi labda kwa wale open minded na kumbuka ni wachache. Sio kila mwanamke anapitia hizo ulizotaja japo wapo wengi. Jaribu kuheshimu baadhi ya wanawake ambao wanajitambua.
 
Haja base wanawake wote naona hujaelewa rudia kusoma huwo uzi
 
Nitarudi kusoma bandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…