Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Wengi huwa tunadharau vitu vidogo vidogoWahindi huku wanauza Uzi na vifungo za mia mia mnanunua kwa foleni, au bolt na nut... Jioni mtu anaenda deposit milion 10 benki
Shenzi
Hakuna bolt au nati ya shilingi hamsini kwa muhindi.Wengi huwa tunadharau vitu vidogo vidogo
Wengine wanauza barafu, sijui mnaziitaje huko kwenu; lakini leo wako vizuri zaidiEty karanga daaah