Hicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.Hii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu.
Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi.
Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo ndio utajua hawa watu ndio akili zao.
Hata kama kutakuwa na vyoo vizuri kama kutakosa usafi ni yale yale.
Kwa nini wazungu waje kutusaidia kujenga vyoo kwanza
View attachment 3337895View attachment 3337897
Choo sio nyumba yenye kutumia pesa kama unavyofikiriHicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
Sahihi kbsaHicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
ChaiHii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu.
Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi.
Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo ndio utajua hawa watu ndio akili zao.
Hata kama kutakuwa na vyoo vizuri kama kutakosa usafi ni yale yale.
Kwa nini wazungu waje kutusaidia kujenga vyoo kwanza
View attachment 3337895View attachment 3337897
NakaziaHicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
Ofisi nyingi tu za serikali na vyuo vikuu vingi vyoo vyao ni vibovu sana kutokana na matumizi ya hovyo pamoja na kutokutunzwa.Hicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
Watu wengi wanaokuwa vyuoni na maofisini wanatokea kwenye jamii zenye maisha duni, wachache wanaotoka familia zenye uwezo na elimu ya mazingira. Hivyo mchanganyiko wa wasio na uelewa wa matumizi ya vyoo na wenye uelewa kama ratio ya wasiokuwa na uelewa ikiwa kubwa kuzidi wenye uelewa usishangae kuona vyoo vichafu sehemu ambapo unategemea viwe visafi. Lakini pia matumizi ya vyoo vya shimo na ukosefu wa maji vyooni inaweza kuwa vinachangia kwa kiasi kikubwa uchafu kwenye vyoo.Ofisi nyingi tu za serikali na vyuo vikuu vingi vyoo vyao ni vibovu sana kutokana na matumizi ya hovyo pamoja na kutokutunzwa.