estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Asante kwa ushauriKama huyo mpenzi wako ni wa kiume mpeleke Mirembe akafanyiwe check up ya ubongo.
Lakini kama ni wa kike, jua hizo ni tabia za kawaida.
Ngoja niwaite watumishi Benny, Bonny, Raimundo, Numbisa , emmyta geniveros na Shunie ili waje mlimani huku kukufanyia maombi.Kwema humu ndani,
nimekuja kugundua mpenzi wangu hayuko sawa naamanisha kuna msimu akili yake inakuwa sawa kuna kipindi akili yake aiko sawa sijui tatizo nini? mwenye kujua jamani mana hapa nilipo nimekuja kuambiwa na rafiki yake wa karibu huyu mtu nikianza kuishi nae si atakuja kuniulia ndani pindi ntakapo muudhi
mwenye kujua hili tatizo anisaidie ata kimawazo nitamsaidiaje
hahahhah ww Babu nacheka kama mazuri kwenye kumuombea si mpk mwenywe akubali kuombewa
siku zikimcharukia anaweza kukoroga mchanga badala ya sukari kwenye chai... usinywe sasa uone kitakachofata!!!Kama unampenda kwa dhati hakuna shida, kwa sababu ni ugonjwa hivyo unakuwa unajua kuwa kuna kipindi yupo sawa na kipindi hayupo sawa na utajua jinsi ya kumhudumia.
Kuna dada mmoja alikuwa na mume wake mwenye tatizo kama hilo tena yule kaka alikuwa akifikia hiyo hali anakuwa kichaa kabisa kama wiki mbili hivi then anakuwa sawa. Waliishi wakazaa watoto wao bahati mbaya mwanamke alifariki akamuacha mumewe. So inawezekana kuwa nae
Kazi yetu ni kumwombea... mapepo yote tunayaelekeza yaingie kwa mungu wa daslam...hahahhah ww Babu nacheka kama mazuri kwenye kumuombea si mpk mwenywe akubali kuombewa
Hahaha alikuwa anamfungia ndani, tatizo dawa ndio alikuwa anagoma kunywa sasa hapo shughuli inakuwa pevu hadi anywe[emoji3]siku zikimcharukia anaweza kukoroga mchanga badala ya sukari kwenye chai... usinywe sasa uone kitakachofata!!!
kwahiyo tumuombee tu ata kama hatakiKazi yetu ni kumwombea... mapepo yote tunayaelekeza yaingie kwa mungu wa daslam...
sawia kabisa!!kwahiyo tumuombee tu ata kama hataki
hahhahah sawa Babu tumuombeesawia kabisa!!