Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Advantage kubwa tuliyo nayo wanaume kwa wanawake ni wepesi kudanganyikaHapa ni mekaaa nikakumbuka baadhi ya mambo mimi nimedate na walionizidi umri na niliowazidi
Ila baada ya pilikapilika za hapa na pale nimegundua kuwa wanawake akili zao ni kama Game haliwezi kujicheza kamweee
Mfano mzuri ni unavyoongea nae kwanza wanashawishika kwa vitu ambavyo unajua kabisa angelikua dume aa asingeelewa sifa ya mwanamke ni kucheza na akili yake yaani hawa viume ni vyaa ajabu sana walipewa shep ila kichwani hawafiki 40% ya ufikiriaji wa mwanaume
Hapa ni mekaaa nikakumbuka baadhi ya mambo mimi nimedate na walionizidi umri na niliowazidi
Ila baada ya pilikapilika za hapa na pale nimegundua kuwa wanawake akili zao ni kama Game haliwezi kujicheza kamweee
Mfano mzuri ni unavyoongea nae kwanza wanashawishika kwa vitu ambavyo unajua kabisa angelikua dume aa asingeelewa sifa ya mwanamke ni kucheza na akili yake yaani hawa viume ni vyaa ajabu sana walipewa shep ila kichwani hawafiki 40% ya ufikiriaji wa mwanaume
SawaaaWANAWAKE NI MAUA TU YA DUNIA MKUU ALIPEWA KAZI YA KUONGOZA NA KUSIMAMIA DUNIA NI MWANAUME
Kweli kabisaAdvantage kubwa tuliyo nayo wanaume kwa wanawake ni wepesi kudanganyika
Pia hutumia muonekano mahala ambapo unabidi utumie akiliWanawake hutumia hisia badala ya akili.
Aisee siamini kama mwanamke ni chombo cha stareheKwan mkuu umesahau bilblia unasema mwanamke anatokea ubavuni mwa mwamnaumeee,,,,,,,
,Nilichogunduaa n kuishi navyo wanavyotakaa ilaa km uwezo wa kugundua wanachotaka bac utapataka kazi sanaa,
Kwangu mm mwanamke n chombo cha starehee km ilivyo pombe na vingenevyoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni natureWanawake hutumia hisia badala ya akili.
Sio kwamba sikutaki sema ulinikwaza kuweka chumvi nyingi kwenye nyama. Achaga hyo tabia nizidi kukupenda zaidi