Akili za kike

Bonge la jiwe,ingekuwa ni top 20 hii thread yako ndyo ingeshika nafac ya kwanza!
 
Bujibuji kuna wanaotongoza kwakua mchumba yuko masomoni na anataka pa kujishikizia
Wengine wanatongoza kwakua mke mgonjwa au ana mimba kubwa/mtoto mchanga

Tunauliza ili tuijue nafasi mapema tujipange. Mkutudanganya tunaumia sana.
Na kuna wale wasioridhika na mboga moja waenyewe mnawaita mboga saba
 
Hahahahahaha na sie wanaume mbona huwa tunawauliza "vipi una boyfriend"
Majibu yao sasa "nilikuwa nae ila tumeachana" hapo ndio shida inapoanzia kila mtu muongo
Next time uache kuulizia maswali ya kike.
Ukienda hotelini unauliza hii sahani imetumiwa na wateja wangapi?
Au ukipanda Basi unauliza hii siti imeshakaliwa na wateja wangapi?
Tubadilike
 
Wanawake akili zao bhana

Unamtongoza demu halafu ana kuuliza kama una demu mwingine

hivi uliona wapi mtu anaenda kununua nguo akiwa uchi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…