Akili za kuambiwa changanya na za kwako

Akili za kuambiwa changanya na za kwako

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
1. Je, ni kweli kwamba wakati wa utawala wa MUAMMAR GADDAF wananchi wa LIBYA waliishi maisha yenye uafadhali?

2. KAMA NI KWELI: Je, ilikuwa ni muhimu kwa wananchi wa LIBYA kabla ya kumshambulia Rais wao walipaswa kuishi kwenye haya maneno yasemayo; "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO?"

3. KAMA SI KWELI: Je, wenzetu mnaofuatilia habari za nje mnaweza kutwambia tofauti ya hali ya maisha ya wananchi wa LIBYA kabla na baada ya kifo cha MUAMMAR GADDAF?

NB: Hakika naupenda sana huu msemo usemao; "Akili za kuambiwa changanya na za kwako" -
Rafiki anaweza kukuchonganisha na Mwenza wako kisha mkaachana, halafu baadae unamkuta rafiki yako amejiweka kwa mtalaka wako.

Right Marker
Dar es salaam

images (20).jpeg
 
Kikubwa ni ukabila kati ya watu wa sitte vs watu wa Benghazi ,NATO wanaingilia show ilijmaa atolewe maana alikuwa gaidi na sasa yupo nje ya mfumo

USSR
 
Back
Top Bottom