Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Kuna kauli au msemo potofu iliyoota mizizi kwa miaka kadhaa isemayo; "Akili za kuambiwa changanya na zako".
Hivi toka lini mtu akaambiwa akili? Katika hali ya kawaida mtu huwa anaambiwa maneno au habari na sio Akili.
Nadhani msemo huo ungepasawa uwe hivi; Habari ya kuambiwa tumia akili yako. Au maneno ya kuambiwa chuja kwa akili yako.., au La kuambiwa tumia akili yako.