Akili za kushikiwa: Baada ya kugundua kwamba kupima bila malengo hakusaidii kitu, Kenya yaanza kupitia upya mwongozo wa upimaji

Akili za kushikiwa: Baada ya kugundua kwamba kupima bila malengo hakusaidii kitu, Kenya yaanza kupitia upya mwongozo wa upimaji

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Waziri wa afya wa Kenya Bw. Mutahi Kagwe ametangaza mpango wa kupitia upya miongozo ya upimaji wa COVID-19 kuendana na magunduzi mapya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu wagonjwa wasio na dalili.

Bw. Kagwe amesema kwa mujibu wa miongozo ya WHO, wagonjwa wasio na dalili wanapaswa kuwekewa karantini kwa siku tisa hadi kumi, tofauti na wiki mbili inavyotekelezwa nchini humo.

Bw. Kagwe ameongeza kuwa wagonjwa hao watapatiwa maafisa wa afya ya umma au wafanyakazi wa afya ya jamii kwa ajili ya ufuatiliaji wa kila siku.

Hadi sasa watu 1,326 wamethibitika kuambukizwa virusi vya COVID-19 nchini Kenya na wagonjwa 105 kati yao wamefariki.

Source: cri.cn

MY TAKE: Heri ukose Mali lakini ubaki na akili, majirani wamekosa vyote viwili.
 
Muongozo wa upimaji unapitiwa upya na nchi zote duniani, sio kwasababu upimaji wenyewe umefeli.

Bali ni kwasababu ya matokeo kutoka kwa utafiti mpya kuhusu 'assymptomatic patients'. Wale ambao wanaugua lakini hawaoneshi dalili, utafiti umeonesha kwamba baada ya siku kumi hawawezi wakaambukiza wengine virusi vya COVID-19.

Hapo awali walikuwa wanafanyiwa isolation kwa siku 14-21 sawa na wale ambao wanaonesha dalili zote, 'symptomatic patients'.
 
Muongozo wa upimaji unapitiwa upya na nchi zote duniani, sio kwasababu upimaji wenyewe umefeli. Bali ni kwasababu ya matokeo kutoka kwa utafiti mpya kuhusu 'assymptomatic patients'. Wale ambao wanaugua lakini hawaoneshi dalili, utafiti umeonesha kwamba baada ya siku kumi hawawezi wakaambukiza wengine virusi vya COVID-19. Hapo awali walikuwa wanafanyiwa isolation kwa siku 14-21 sawa na wale ambao wanaonesha dalili zote, 'symptomatic patients'.
Usiseme nchi zote duniani Sisi hatuhusiki na korona tulishamalizana nayo toka ilipoingia tu
 
Muongozo wa upimaji unapitiwa upya na nchi zote duniani, sio kwasababu upimaji wenyewe umefeli.

Bali ni kwasababu ya matokeo kutoka kwa utafiti mpya kuhusu 'assymptomatic patients'. Wale ambao wanaugua lakini hawaoneshi dalili, utafiti umeonesha kwamba baada ya siku kumi hawawezi wakaambukiza wengine virusi vya COVID-19.

Hapo awali walikuwa wanafanyiwa isolation kwa siku 14-21 sawa na wale ambao wanaonesha dalili zote, 'symptomatic patients'.
Huu ugonjwa wa kutuana wasiwasi bac hakuna cha ziada, kama ndio hivyo kwanini munashangaa kuona Tanzania hakuna wanaonekana kuugua corana ikiwa munajua kama kuna wengine wana Corona lakini hawaoneshi dalili wala kuambukiza? Ndio maana munaambiwa siku nyingi akili za kuambiwa changanya na zako lakini ninyi kwakua maneno ya mzungu kwa Kenya zaidi ya Mungu bc kila mzungu atakachokisema sawa tu munageuzwa geuzwa kama samaki.
 
Mnasumbuuuka na ka ugonjwa kadogo kwa sbu ya kupiga hela za wazungu, si mnge copy kwa Magufuli?
 
hapana akili wanayo mkuu, hii ni project ya kupiga hela za Wazungu.
Kaka hawa hawana akili hata kidogo, wewe fuatilia maamuzi ya viongozi wa Kenya utacheka hadi ufe, pamoja na kuiba pesa lakini maamuzi yao ni maamuzi ya ajabu kabisa.
 
Muongozo wa upimaji unapitiwa upya na nchi zote duniani, sio kwasababu upimaji wenyewe umefeli.

Bali ni kwasababu ya matokeo kutoka kwa utafiti mpya kuhusu 'assymptomatic patients'. Wale ambao wanaugua lakini hawaoneshi dalili, utafiti umeonesha kwamba baada ya siku kumi hawawezi wakaambukiza wengine virusi vya COVID-19.

Hapo awali walikuwa wanafanyiwa isolation kwa siku 14-21 sawa na wale ambao wanaonesha dalili zote, 'symptomatic patients'.
Mwanzo wa uzi nilianza na "Akili za kushikiwa", kwa hiyo ninyi hamuwezi kuja na mawazo yenu mpaka msikilize toka WHO?, mbona sisi tulijua mapema na tukawaambia kwamba hakuna sababu ya kumpima mtu ambaye haonyeshi dalili yoyote mkakataa na kutusema vibaya?

What Magufuli can see while is sitting, WHO and other leaders(including Uhuru Kenyatta) need to be on top of mount Kenya to see it.

Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
On top of mount meru hahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Screenshot_20200628-223646_Twitter.jpg

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo wa uzi nilianza na "Akili za kushikiwa", kwa hiyo ninyi hamuwezi kuja na mawazo yenu mpaka msikilize toka WHO?
Ushamba ushamba tu, muongozo ni kuhusu karantini/'isolation', sio upimaji. Ambayo imepunguzwa hadi siku 9-10 kutoka siku 14, kwa wagonjwa 'assymptomatic'. Tofauti kati yetu ni kwamba Kenya tuna wataalamu wa kutosha, tafiti za kisayansi huwa hazifanywi kimaandazi kama unavodhania, kwa kupima eti mapapai na mbuzi. WHO wanategemea tafiti kutoka kwa mashirika mbali mbali duniani, ili wafikie maamuzi yoyote ya kitaalamu. KEMRI ya Kenya ni kati ya mashirika hayo, ambayo yanachangia kwenye tafiti hizo. Kwa mfano 'Genome Sequencing' ya KEMRI kuhusu 'strain' 122 za SARS-CoV-2(COVID-19) ambazo zipo Afrika Mashariki tayari imewasilishwa kwenye Gene Bank. Tafiti zozote ambazo zitafanywa na WHO kuhusu COVID-19 hapa AM lazima zitafata muongozo huo wa KEMRI. Kenya’s Covid-19 Genome Sequencing Report is Out
 
Waja walinena.ukikosa malengo njia yoyote itakupeleka kukupoteza.

Hawa ndugu zetu hawaelewi nini hatma yao,nini malengo yao wala wanataka nini.
 
Back
Top Bottom