Akili za namna hii nilikuja kuzikuta huku Tanzania tu. Nilisikitika sana na kutokwa na machozi

Noted with thanks
 
Mimi kuwa na magari ya kifahari tena toka Ulaya ambayo hayajapita muda wake wa ku expire.(mimi gari zangu toka itengenezwe hamna iliyofika miaka 5)
 
Hivi haya Ni ya kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe jamaa huwa unanivunja mbavu
 
Bandiko zuri sana kwa kujifunza na kubadilika.

Mie nahitaji hela kwaajili ya mtaji wa biashara, tafadhali.
 
Nmekuelewa. Ila kwa siku ile ilitokea issue flani na zile pesa ilibidi niwe nazo kwa ajili ya issue flani hivi. Hazikuwa nyingi.sema ni kweli kwa maskini wanaweza kumdhuru mtu hata kwa mil 10 tu. Sitokuwa nikifanya hivyo.

Kiduku lilo kuna mtu eti kapokea mshahara kamtumia mama yake 10000 eti ni halali kweli ungepita kwenye huo uzi ungeliaa
 
Hapana dada yangu siyo rahisi mtu amtumie mama yake mzazi tsh 100,000 angalau ungenambia usd. Sasa 100,000 mama iyekuzaa anafanyia nini?ndo maana wengine hawabarikiwi.hiyo si ni pesa ya kununulia chewing gums zile ambazo mi huwa nanunua sugerfree na zenye kuondoa uchovu maana zile packet moja ni tsh 250,000.

Nmejisikia vibaya sana.najua umetania tu sister.hamna mtu anayeweza tuma 100,000 kwa mama yake ni pesa ndogo sana.

Kiduku lilo kuna mtu eti kapokea mshahara kamtumia mama yake 10000 eti ni halali kweli ungepita kwenye huo uzi ungeliaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…