Akili za viongozi wa CCM zimeishia hapa

Akili za viongozi wa CCM zimeishia hapa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?

Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.

Msikilizeni huyu mama Chatanda anavyo mwaga upupu wake jukwaani ndiyo mtanielewa.

Aibu Gani Hii Ccm
Wapo weupe sana kichwani.

Kama waliwahi kupiga marufuku nyimbo za Dr Remy Ongara wa MAMBO KWA SOKSI.

Lkn leo hii wanafumbia macho maneno ya Chatanda basi tujifanye viziwi
 
huyu ana heo gani ccm. takataka tupu
 
Ndio nani kwanza huyu mama chanda sijui mama tanda mnamuita...🤔
 
Kweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?

Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.

Msikilizeni huyu mama Chatanda anavyo mwaga upupu wake jukwaani ndiyo mtanielewa.View attachment 2762499
Kalewa supu ya pweza.
 
Kweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?

Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.

Msikilizeni huyu mama Chatanda anavyo mwaga upupu wake jukwaani ndiyo mtanielewa.
View attachment 2762499
Mnyika hajaiona hii?

Akiona yule atatoa tamko au amri na kuitaitaka ccm au Serikali ndani ya siku7, wawe wamemfukuza huyu mumama kwenye chama😜

waipomfukuza baada ya siku7 tutatoa uelekeo kwa nchi nzima cha kufanya 😜
 
Back
Top Bottom