huyu ana heo gani ccm. takataka tupuWapo weupe sana kichwani.
Kama waliwahi kupiga marufuku nyimbo za Dr Remy Ongara wa MAMBO KWA SOKSI.
Lkn leo hii wanafumbia macho maneno ya Chatanda basi tujifanye viziwi
Kurumbembe hilo. Kajisema mwenyewAibu Gani Hii Ccm
Kalewa supu ya pweza.Kweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?
Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.
Msikilizeni huyu mama Chatanda anavyo mwaga upupu wake jukwaani ndiyo mtanielewa.View attachment 2762499
Mnyika hajaiona hii?Kweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?
Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.
Msikilizeni huyu mama Chatanda anavyo mwaga upupu wake jukwaani ndiyo mtanielewa.
View attachment 2762499
Mhuni kama Wahuni wengineKweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?
Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.
Msikilizeni huyu mama Chatanda anavyo mwaga upupu wake jukwaani ndiyo mtanielewa.
View attachment 2762499