Akili zangu nazijua mwenyewe...

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Jana nilienda hotelini.. ila nikakuta Meza zote zimejaa watu.. so nikaona isiwe Shida..
nikatoa simu yangu kisha nikaweka sikioni halafu nikasema..
Oya jamaa! Eeh njoo hapa nimemuona wife wako yupo na lijamaa hapa"..saivi naona watu wanaondoka wawili wawili...
itakuwa walikerwa na uongeaji wangu wa simu kwa nguvuu...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 


Mke wa mtu ni "poison" 😁😁😁
 
Ndoa za watu achana nazo....wakichepuka watajuana wenyewe, kaa pembeni usubiri kiti...heheheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…