Akili zetu zinatengenezwa na walioanzisha mifumo,tuamke

Akili zetu zinatengenezwa na walioanzisha mifumo,tuamke

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
I know kuna watu watasema kuwa nimechanganyikiwa ila ni uhalisia kuwa Mifumo hutengenezwa ili kudhibiti matokeo,na ikitokea mfumo ukashindwa ndipo inakuwa ni mapinduzi na kuzaliwa mfumo mpya.

Before science tulikuwa tunaishi naturally yaani we had beliefs lengo ni kumaster nature na hili lilienda sambamba na ujamaa,lakini baadae mfumo ukabadilika na tukaingia kwenye science na ubepari kitu ambacho kimebadilisha taswira/mfumo mzima wa maisha.

Akili zetu zimekuwa planned,kila jambo utasikia human rights,laws,freedom lakini tumesahau kuambiwa kuwa hichi tunachokishi ni programmed system.

Ndiyo maana wazungu wanaforce mno kuzipiga nchi ambazo zipo tofauti nao ili kuimpart unconscious knowledge lengo dunia tuwe katika mfumo mmoja ambao utakuwa ni rahisi na vigumu kupingwa.

Vijana wanawaza starehe,pombe,kamari,ubinafsi n.k

Wadau nawasanua akili za kuambiwa changanya na zako,tunapotea.
 
Back
Top Bottom