Hapo ambacho hakieleweki ni nini?! Au hisia zako za Kimanzichana Baptist church ndizo umeziweka mbele.Kulikuwa na mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia jana na wamekubaliana Iran asishambulie Mataifa ya Ghuba na Saudi Arabia ikiwa hamna tishio lolote maana kambi zote zimechakazwa na askari wa kinarekani waliokuwwpo wanazururazurura tu mitaani hawajui hatma yao