Muwe mnafanya tafiti kabla hamjatoka mapovuJamani, hawa watu ndo walienda mahakamani kupinga kampuni ya Yanga Yetu iliyokuwa chini ya Manji! Inawezekana kuna baadhi ya vipengele vya katiba vilikiukwa ila lilikuwa suala la kuufuata uongozi na kuyaweka sawa na sio kwenda mahakamani.
Leo Manji kaondoka na pesa zake, Chacha na Akilimali mtuletee tajiri wenu ainusuru Club na mkishindwa basi kuanzia leo nyie na maadui namba moja wa club ya Yanga!
Muda mwingine wanachama wa Yanga acheni kukurupika!
Akiiacha tu wameumia!Hao hawana u tofauti Na wale wazee wa simba!
Maneno mengi ila hakuna chochote wanachopeleka time ipate pesa!
Sijui mo atachukua maamuzi gani maana nae walimtusi kweli wale wazee!
Udhamini wa Sportspesa hautoshi kuendesha timu mkuu, kama ndo unakupa kiburi basi jua umepotea!Muwe mnafanya tafiti kabla hamjatoka mapovu
Tafakari jezy ulizoshangilia ubingwa zilikuwa zimeandikwa nini???
Ukipata jibu utajua yanga hatuna shukrani sisi hata iweje
Tafuta jezy ya yanga walioshangilia ubingwa utapata jibu