Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
We unayo kazi?Huna kazi za kufanya
Ningeomba nipewe dawa ya usingizi ya miaka 5Je ungeota umenunua ndege si ungejiua?
We ndo huna kaziHuna kazi za kufanya
gar yako nmeiona magogoni kwa mwenye nchi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
*Nimelala nkaota naendesha New Mercedez Benz [emoji593] S-Class 2016...*[emoji593]
*Sasa nmeamka nimesahau nimelipaki wapi......*
*Hapa najiandaa naenda Ku-report police nmeibiwa gari*
*SIIBIWI KIZEMBE MIMI*
Akili yangu naijua mwenyewe
Haaa... naifata sasa ivigar yako nmeiona magogoni kwa mwenye nchi
sawa mkuu ila ukifika usijitambulishe kwa jina la red scorpionHaaa... naifata sasa ivi
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
*Nimelala nkaota naendesha New Mercedez Benz [emoji593] S-Class 2016...*[emoji593]
*Sasa nmeamka nimesahau nimelipaki wapi......*
*Hapa najiandaa naenda Ku-report police nmeibiwa gari*
*SIIBIWI KIZEMBE MIMI*
Akili yangu naijua mwenyewe
Utakua bado umelala na unaendelea kuota,lakini kumbuka wakati wewe unaota wenzako wanayaendesha kiuhalisia na sio kuota tu! Chase ur dream and turn it to reality kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na kua na malengo.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]