PostGE2025 Akimaliza Hotuba yake bila kusema yuko wapi Polepole, Soka, Mdude na wengine hotuba yake ni batili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Anajifanya anarudi nyuma baada ya kuuwa wananchi sababu ameshikwa pabaya. Dunia imemshika pabaya. Yuko kwenye maji ya moto sasa hivi. Dunia imegoma kutambua Urasi wake. So now anajaribu kucheza na akili zetu.
 
Sikuzote Yanaleta matatizo afu yanajifanya kama yanatatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…