Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes! Part 2

Ndivyo inavyokuwa mara nyingi, akiona umestuka flani umekata mawasiliano na kama alikuwa kwa namna flani amekupenda basi atataka muonane. Huenda kweli amejisikia aibu baada ya kuingia mitini bila kumpa hela ya salanu sh elf kumi na tano . mi binafsi sikupendezwa na kitendo cha kuomba hela ya saluni siku ya pili tu,

cha muhimu mkionana, kama ukiamua, muweke wazi nini mnachopenda na msichopenda kwenye hayo mahusiano kabla ya chochote kile. kuwa wazi tangu mwanzoni ni muhimu sana. baada ya hapo utaweza kujua kama uendelee na uhusiano au la
 
mkuu huyo anatengeneza mazingira ya outing kwa sana
 
Kwahiyo tuseme kisa kakuomba hiyo hela ya saluni ndio ukaamua kumkacha, watu kama wewe hawanaga haya uoni kwamba aibu ni yako kijihela cha saluni tuu kelele hata hiyo lunch uliotoa lazima roho inakuuma usiwe
bahili kaka kupata demu wa ukweli kazi
 
Kwahiyo tuseme kisa kakuomba hiyo hela ya saluni ndio ukaamua kumkacha, watu kama wewe hawanaga haya uoni kwamba aibu ni yako kijihela cha saluni tuu kelele hata hiyo lunch uliotoa lazima roho inakuuma usiwe
bahili kaka kupata demu wa ukweli kazi

Acha kudanganya umma wa wanaJF,demu gani wa ukweli lazima awe mpiga mizinga au matonya! Ni wa ukweli ktk lipi huyo demu,mgawaji wa ukweli au mwenye mapenzi ya ukweli? Ukishakuwa kademu ka mizinga kupigwa chini lazima. Mkuu kapige pai then ukamwage hako kademu.
 
nikwambie kitu mkuu? wewe kubali kapeleke gesti za kishikaji tu ukarambe mkopo wa sukari halafu ukateme mazima, mademu wa hivo ndo dawa yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…