Pole mkuu kwa yaliokukutaTabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi wako kazini,,,..mara Oooohhh...bosi kanialika ktk b day ya wife wake, Leo Bosi kanipongeza kwa uchapa kazi wangu, etc etc.. waleta visifa vya ajbu ajabu vya bosi wako kwa mpenzio... Please Stop.. Waerevu wamenielewa
Tunaambiwa kua wanawake katika relationships ni walalamishi na sio wavumilivu....
But leo this week... let leo alone wanaume wametuma threads zaidi kuhusu
wanawake... I wonder kama the cap imehama?? Data hebu nisaidie...
Wajua nin AD.. wadada sikuhizi vigeugeu mnoooooo... hamshkiki
Wivu ukizidi hata siku akimsifia houseboy wenu kwamba ni mchapakazi na mwepesi wa kuelewa maelekezo inaweza kuwa shida. Kam kupigiwa, unaweza kupigiwa bila hata ya huyo bosi kutajwa mara kwa mara.
Tabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi wako kazini,,,..mara Oooohhh...bosi kanialika ktk b day ya wife wake, Leo Bosi kanipongeza kwa uchapa kazi wangu, etc etc.. waleta visifa vya ajbu ajabu vya bosi wako kwa mpenzio... Please Stop.. Waerevu wamenielewa
Wajua nin AD.. wadada sikuhizi vigeugeu mnoooooo... hamshkiki