Brazakiiza,kwa upande wangu huwa naclear mahusiano ya nyuma kabla ya kuanza mapya. Lakini kwa nini unaulizia wadada tu?nyie wakaka huwa inakuwaje?
Usishangae daughter, si mambo ya mfume dume mabaya yote huelekezwa kwa wanawake, au umesahau? vumilia tu ukisema sana utaambiwa kuwa wewe ni mwanasheria bure ukaja kukosa mume

Umeongea kama ni kitu ambacho bado kinaendelea Umeshaclear relations ngapi?Brazakiiza,kwa upande wangu huwa naclear mahusiano ya nyuma kabla ya kuanza mapya. Lakini kwa nini unaulizia wadada tu?nyie wakaka huwa inakuwaje?
Umeongea kama ni kitu ambacho bado kinaendelea Umeshaclear relations ngapi?
Bado unaendelea kuclear?