Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
:mullet::mullet::mullet::mullet::mullet:Wajameni, last week-end nilihudhuria harusi moja hivi, nilipo fika ukumbini, nilikutana na wanadada takribani wote wamevalia vinguo vya utatanishi!!!? Wengi wao walivaa nguo za kubana sana na trasparency yaani zinaonyesha kufuli zao zilipo anzia hadi zilipoishia, na wale waliovaa chachandu nazo zilikuwa zinaonekana wazi wazi! Ilipo fika wakati wa kujimwaga, wakawa wanashindani kukata mauno mbele ya wanaume, huku wakiinama wakiwa wanajua kabisa kuwa wamevaa vimini tena vya hatari!
Wadada lengo lenu hasa ninini hapo? Kuwatamanisha wanaume? Kuonyesha kwamba mnajua kukata mauno??????????????:mullet::mullet::mullet::mullet:
Wadada lengo lenu hasa ninini hapo? Kuwatamanisha wanaume? Kuonyesha kwamba mnajua kukata mauno??????????????:mullet::mullet::mullet::mullet: