Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
tunajitahidi kuyashinda majaribu
Yaani tuna kazi kwa kweli....kuna siku nilisimamia mitihani katika chuo kimoja cha utumishi wa umma, vituko nilivyofanyiwa na mabinti sina hamu!yaani, mi huwa nawaonea huruma sana.
hayo mambo huwa hayaishii huko kwenye maharusi tu.
siku hizi ukipita mitaa ya vyuo utashangaa kuona vinguo ambavyo wadada wanaingia navyo darasani. Mi huwa najiuliza, hawa ndugu wanaenda darasa, beach, party, disco....................? yaani hawaeleweki. hasa kama somo anafundisha mwalimu kijana...........
Ahaaa ahaaaa ahaaaa Katavi ulikutwa na makubwaYaani tuna kazi kwa kweli....kuna siku nilisimamia mitihani katika chuo kimoja cha utumishi wa umma, vituko nilivyofanyiwa na mabinti sina hamu!
Yaani tuna kazi kwa kweli....kuna siku nilisimamia mitihani katika chuo kimoja cha utumishi wa umma, vituko nilivyofanyiwa na mabinti sina hamu!
Sana tu kaka, mavazi waliyokuwa wamevaa ni balaa, just tu kuniondolea umakini katika kazi yangu.Ahaaa ahaaaa ahaaaa Katavi ulikutwa na makubwa
Ahahahahaah haohao Kaizer, kwa kweli walimu wao wana kazi!hapoitakuwa magogoni nini mkuu lol
Katavi habari ya hapo magogoni huwa naisikia nilikuja hapo mara moja kumsalimia mtu, mhh kweli kazi mnayoAhahahahaah haohao Kaizer, kwa kweli walimu wao wana kazi!
Hi! hapana unakosea.Wanatafuta na wao mabwana harusi kwani sikuhizi kuolewa lazima umvutie mtu!kwani hata soda zinafanana kati ya pepsi na coca ila kinachotafautisha ni jinsi gani biashara ulivyoitangaza!!
Joto wapi mshiki...hata kukiwa na viyoyozi!
Asante Susy.dah!! hy ilikua kiboko!! poleni wategwaji!
Hapo ndipo tulipo fikishwa na bado.
Wameanzia kwa waganga wa kienyeji kuoshwa ili nuksi itoke bila mafanikio.
Hakuna anae wasalimu labda mjomba wake.
Miezi inapita bila kuchakachuliwa maana wanaume nao nguluwe pita mkuki sina kwa vile, wanashindia kahawa na kashata wamepigika!
Sasa kashangae Rozana Buguruni Kuna hata wanapipa debe Tigo buku jero voda nyongeza. tigo buku jero voda nyongeza.....
Kweli
dhamira kwishinei!
Hapo ndipo tulipo fikishwa na bado.
Wameanzia kwa waganga wa kienyeji kuoshwa ili nuksi itoke bila mafanikio.
Hakuna anae wasalimu labda mjomba wake.
Miezi inapita bila kuchakachuliwa maana wanaume nao nguluwe pita mkuki sina kwa vile, wanashindia kahawa na kashata wamepigika!
Sasa kashangae Rozana Buguruni Kuna hata wanapipa debe Tigo buku jero voda nyongeza. tigo buku jero voda nyongeza.....
Kweli dhamira kwishinei!