Akina dada, lengo lenu ninini hasa??????????????

Hivi huwa inawaboa au inawafurahisha?
Mbona mnatumbuaga macho kama wanawakwaza.
 
Inawezekana mywife wako alichukizwa, au aliona wivu lol
mkuu mi nilikua na wife kwenye harusi basi tabu tupu mara wanikonyeze mara wanilegezee mimacho.

ikabidi tuondoke mapema

ila wale walikua friends wa bibi harusi who happens to be my relative
 
Sasa unataka tuwe vipofu Husniyo?
Sio siri wakati mwingine hao wanawake huwa wanaboa sana, si kila kitu kizuri
Hivi huwa inawaboa au inawafurahisha?
Mbona mnatumbuaga macho kama wanawakwaza.
 

Wapo kwenye marketing. Inawezekana staili hiyo inalipa. Vinginevyo wasingefanya hivyo.
 

Network search
 
Utakuta mwanamke anakata viuno utafikiri analipwa harusini, yaan mpaka unajiona uko kwenye kitchen party
 
Kwa kawaida harusi moja huzaa nyingine kwa maana watu huweza kukutana na kuanzisha urafiki kupitia kwenye harusi na hata kama haikuzaliwa harusi nyingine mara nyingi nimeshuhudia urafiki ukianzia kwenye harusi na baadaye kuanzisha mapenzi motomoto hivyo si vibaya kwa hao mabinti kujitafutia kwa mbinu waliyoigundua ya kukata mauno na kujianika kwa kuwa mara nyingi wafanyapo hayo kuna watu ambao hufikia hata kuwashangilia na kuwamwagia pesa,Na kama ni kweli tunakereka na tabia hiyo basi kupitia kwenye kamati za harusi ni vyema mambo hayo yakawa yakijadiliwa na kuundiwa kajikamati kadogo ka kuyadhibiti lakini kama tukikaa kimya tu na kulalamika humu JF basi inaonesha wazi kuwa tunayafurahia na wao ambao hata JF hawaijui wataendelea na mitego yao waliyojitungia.
 
Sasa unataka tuwe vipofu Husniyo?
Sio siri wakati mwingine hao wanawake huwa wanaboa sana, si kila kitu kizuri

mi nawaonaga mnachekelea video ya bure. Lol!
Na nyie wanaume muwarekebishe maana wengine ni wapenzi wenu na hata dada zenu.
 
sasa watauzaje bila kuonyesha na kutangaza business bana....wengi wao lengo ni kutafuta wachumba palepale ukumbini utaona namba za cmu watu wanavyobadilishana eti wamependana ghafla
 
Inawezekana mywife wako alichukizwa, au aliona wivu lol

Hakuona wakati wanakonyeza cz angeanzisha songombingo

I also didnt want to tell her lakini, wanaudhi ningekua sijaoa wangenikoma
 
mkuu mi nilikua na wife kwenye harusi basi tabu tupu mara wanikonyeze mara wanilegezee mimacho.

ikabidi tuondoke mapema

ila wale walikua friends wa bibi harusi who happens to be my relative

Bwana harusi naye si alikuwa anawaona..labda walikuwa wanamuonyesha wao ni zaidi kuliko bibi harusi, usicheze na mashosti kaka wakipewa upenyo tu wanautumia ipasavyo. Nahisi hata mywife wako alikuwa na hofu hapo..
 
Sijui ni kuzeeka?

Hivi Mwanamke akivaa MINI SKIRT wanaume wanapata mfadahiko?

Nadhani nahitaji kumuona Daktari haraka - Maana mimi mwanamke hata akiwa uchi sisikii hisia yoyote kama siyo mke wangu!
 
Ndo maana naungisha mkono kiaina wenye harusi na sitaki kadi....Full stop.:wink2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…