Nimecheka unaposema eti wazazi wenu wangewaua mngekuwepo, so ni heri wale watoto wanazagaa mitaani na kupata shida vile ee. Sema watu wajitahidi wasibebe mimba, ila hili la kuzaa kila mimba bila mpangilio hata siliafiki
Ad... Unatumia kinywaji gani?
Saa zingine raha banaa, usinulize kwanini l.o.lDaahh
Haya bana
kwanza kabisa utumiaji wa kinga
Unaenda pande zote wanaume na wanawake..
sababu kuna kuzuia magonjwa na mimba..
it is ur responsibility to
Kumwambia partner wako mtumie kinga
saa nyingin si raha kula pipi kwenye mfuko
lakini ni vema kufikiria kabla ya kutenda.
Na utaepusha huo utowaji mimba
Lakini kusema hivyo
Ni vizuri kwa sisi wanawake kuchukua
Vidonge ,sindano a condom za kike au tusifanye kabisa
Kujikinga na ujauzito hata hivyo bado tutumie condom
..
Saa zingine raha banaa, usinulize kwanini l.o.l
Tunazuia mimba zisizotarajiwaHahahahahahahah lol
haya lakini kwa nini mmhh
I'm just curious...lol
Ningekuwa darasani tungeongea mengi sana hapa.........but in short suala la utoaji mimba halizungumziki kirahisi namna hii........eti kina dada msikubali wanaume wasioeleweka au msikubali kuzaa bila mpangilio au msibebe mimba........ Vichocheo vya jambo hili viko vingi ikiwa pamoja na umasikini, ulaghai, unyanyasaji wa kijinsia, ukosekanaji wa maadili you name it.
maty kuna wanaobakwa na kujikuta wanapata ujauzito na kwa kuwa hatuna vituo vya ushauri vya namna ya kuhimili majanga kama haya basi mtu anajikuta hana jinsi na kukimbilia njia rahisi ya kutoa. But wapo ambao pia kutokana na udhaifu wao wanajikuta hawana say kwenye matumizi ya kinga na hana say juu ya mwili wake so mwenzi anatake advantage kisha anakataa majukumu na mdada akijiangalia hali yake duni...anafanyaje??Yaani mamito we acha tu, hili jambo ni gumu kuliko ugumu wenyewe
Tunazuia mimba zisizotarajiwa
Si ni kweli lakini eheeeHAhahaha
dahh hilo jibu hilo
mmmhhhh haya bwana..
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!
Nimecheka unaposema eti wazazi wenu wangewaua mngekuwepo, so ni heri wale watoto wanazagaa mitaani na kupata shida vile ee. Sema watu wajitahidi wasibebe mimba, ila hili la kuzaa kila mimba bila mpangilio hata siliafiki