Unafikiri wanaopata mimba hawajui? ni uzembe sana, ila wanaume pia wa kulaumiwa, wanapenda sana kula pipi bila maganda, msichana usipojisimamia, ukawa ngangali uakwenda na maji. ushauri pia kwa nyie wa kaka, msijipende nyie tu, kulamba sali hafu cxonsequenses mnamwachia mwanamke. Mimba ni muungano wa male and female so lawama kwa wote.
Suala hapa si utoaji mimba wewe, una uhakika gani mama yako hajawahi kutoa mimba? acheni unafiki hapa na wewe pia inawezekana ulishashiriki kutoa mimba ila unajishaua tu hapa eti mama yangu asingenizaa ningekuwa wapi unafikiri mama yako alishadanganywa mara ngapi mpaka sasa
Uko wapi?
Tatizo sio kuacha unafiki,tatizo ni kusimamia ukweli!
Abortion,no matter nini kimetokea ni dhambi na hilo nalisimamia kama lilivo!
What i hate is personal attacks good thing niliondoka JF baada ya kukasirika
Infact nimempa mtu mimba,simuoi na nilimsisitiza azae huyo mtoto na tar26 anafikisha miaka miwili!
Unajua kwanini?
Najua umuhimu wa maisha ya binadamu yeyote yule kwa Mungu!
Anae toa mimba,au anae support kutoa mimba hana tofauti na muuaji yeyote yule,jambazi,mchawi,etc
Pole maty
Ndo mana nikasema suala hili ni pana kuliko tunavyolifikiria. Hata hizo kondom na matumizi yake zina explanations tofauti nyingi ya why watu hawatumii na haiishii kwenye utashi tu kuwa eti mtu hapendi kula pipi na maganda hapana ni suala pana na sababu ziko nyingi tofauti. So utoaji wa mimba kama utaji wa mimba hauwezikuzuiliwa kwa kuwanyooshea vidole watuhumiwa tu.
Though i mean it,what i say and what i do are never the same!!!
Hapo kwenye red hivi unafikiri kuna mtu yuko proud to be born? kuna raha gani? imetokea tu tupo duniani. Tungetolewa ingekuwa poa zaidi, LOL.
Kweli inasikitisha waombe Mungu asiwanyime watakapotaka kuwa na watoto
Wanawake wengi duniani wanalia hawapati watoto miscarriages wengine hata mimba aiingii hata IVF hata clomid
Hapa ni peace tu mama jamii One, watu tunaona aibu nikisema hivi nitafikiriwa mzinzi, au mtoaji mimba au muuaji etc. na ndio maana jukwaa linaharibika watu badala ya kuwa serious wanaogopa kuonekanaje matokeo yake mtu anaanzisha nimemmiss fulani ooh nampenda fulani wanaogopa kuanzisha mada zenye manufaa kwani akianzisha jamani nimezini au nimeiba watu wanaanza kuzomea tu kwa nini kwa nini as if hayafanyiki huko mtaani.
Wanajamii forums tunajifanya ni tofauti na wale tuishio huko duniani utadhani jamii forum ni dunia nyingine. Kuna mtu alisema wababa wa jamii forum wanamtongoza alidhani akikutana na wa humu watakua tofauti na anaofanya nao kazi au kupishana nao huko barabarani kumbe ni wale wale tu.
Narudia tuache unafiki ukweli unauma ila unajenga.
God treats a fetus (baby) in the womb as a living person.
Some people say, "The Bible does not say anything about abortion." Let's look at that statement.
Although the Bible does not use the terms "abortion" or "pro-life,"
does that mean God doesn't care about abortion?
Not at all.
There are countless wrong things that are not mentioned by name in the Bible.
But rather than list everything that would be against God's will,
the Bible gives us guidelines and principles that we can apply to the issues that come up in our lives.
As the following Scriptures show,
Christians (or members of other religions) do not need to wonder what God thinks about unborn children or whether he considers a fetus a child.
Did not he who made me in the womb make them?
Did not the same one form us both within our mothers? (Job 31:15)
.
Yet you brought me out of the womb; you made me trust in you even at my mother's breast. From birth I was cast upon you; from my mother's womb you have been my God (Psalm 22:9-10).
For you created my inmost being; you knit me together in my mother's womb.
I praise you because I am fearfully and wonderfully made; your works are wonderful, I know that full well.
My frame was not hidden from you when I was made in the secret place.
When I was woven together in the depths of the earth, your eyes saw my unformed body. All the days ordained for me were written in your book before one of them came to be (Psalm 139:13-16).
This is what the LORD says-he who made you, who formed you in the womb, and who will help you....
Listen to me, O house of Jacob, all you who remain of the house of Israel,
you whom I have upheld since you were conceived, and have carried since your birth.
Even to your old age and gray hairs I am he, I am he who will sustain you.
I have made you and I will carry you;
I will sustain you and I will rescue you (Isaiah 46:3-4).
And now the LORD says-he who formed me in the womb to be
his servant to bring Jacob back to him and gather Israel to himself,
for I am honored in the eyes of the LORD and my God has been my strength (Isaiah 49:5).
The word of the LORD came to me, saying,
"Before I formed you in the womb I knew you, before you were born I set you apart;
I appointed you as a prophet to the nations" (Jeremiah 1:4-5).
God says murder is sin. (Abortion kills the fetus.) "a human being in this case"
You shall not murder (Exodus 20:13).
Umeona dhambi ni kutoa au kusapoti kutoa mimba tu? kuzini si dhambi? uongo si dhambi?
Hapo kwenye red inawezekana tu iwapo huyo dada alibakwa.
Zaidi ya hapo hamna wakumtupia lawama zaidi ya mwanamke mwenyewe.Swala la mwanaume kukataa mimba au mwanaume kutokidhi sifa za mdada kutaka kuzaa nae ndo mara nyingi hua linatumiwa kama kisingizio.
Huko ni kukataa majukumu yaliyotokana na matendo binafsi...kama mtu ulimwona anafaa kuhusiana nae kimapenzi bila tahadhari iweje baadae mtu aseme ahhhh mi simpendi kwahiyo siwezi kuzaa nae???
Mwanaume anaekataa mimba yake nae ni yule ambae anahisi/ona hayuko tayari kuwa na majukumu makubwa kama kulea mtoto kwahiyo wanachagua njia rahisi na kukataa matunda ya kazi zao.Ubaya wa hapa ni kwamba mara nyingi sisi wadada hua tunajiachia bila kujua malengo ya wenzetu yako wapi.Tue na mazoea ya kuongea na kuwachimba kujua kama kitu flani kikitokea je itakuaje....sio hujui hata kama mwenzako atapenda kua na mtoto huko mbeleni alafu we unajilegeza mpaka kupata mimba.
Kitu kingine ni kwamba kama unajua hutaki ama huwezi kua na uwezo wa kulea mtoto iwe mwenyewe au na mwenzako.....USIHUSIANE KIMWILI AU ATLEAST KUA MUANGALIFU.
Starehe zako zisiwe tabu kwa vimalaika vya Mungu maana kuna watu wanatoa mpaka imekua mazoea!!!
Speaker and Maty please. .... Peace
Umeona dhambi ni kutoa au kusapoti kutoa mimba tu? kuzini si dhambi? uongo si dhambi?
Jamani mnapoanza kukataa kujua sababu za utoaji huo wa mimba hizo, ni sawa na kutibu malaria wakati mazalia ya mbu bado yako kibao.
Sasa na wale madaktari wanaotoa mimba ili kuokoa maisha ya mama nao ni dhambi?? Hebu tuache kutreat sympoms tudeal na root causes ndicho nisemacho mie. Kama ni maadili tudeal na maadili lakini haitasaidia kitu kama tunaruhusu tabia mbovu zizaliwe huku tukisubiri kuzicondem wakati matatizo yeshatokea
Aisee Mjukuu nidai Marunyagi katoni mbili for this useful post nitaongea na Daz akufanyie home deliveryJamani mnapoanza kukataa kujua sababu za utoaji huo wa mimba hizo, ni sawa na kutibu malaria wakati mazalia ya mbu bado yako kibao.
Sasa na wale madaktari wanaotoa mimba ili kuokoa maisha ya mama nao ni dhambi?? Hebu tuache kutreat sympoms tudeal na root causes ndicho nisemacho mie. Kama ni maadili tudeal na maadili lakini haitasaidia kitu kama tunaruhusu tabia mbovu zizaliwe huku tukisubiri kuzicondem wakati matatizo yeshatokea