Mopao Josee
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 280
- 1
haina nafasi hapa hii topic
haina nafasi hapa hii topic
haina nafasi hapa hii topic
Binafsi sina tatizo na suruali kama vazi kwa akina dada/mama.Tatizo langu ni kwamba ni kama alivyosema mtoa mada kwamba baadhi zinawaharibia haiba yao kama wanawake. Kwa hiyo utaona kwamba kama lengo la kuvaa suruali ilikuwa kutoka chicha kama wanavyosema watoto wa mama lengo linakuwa limeanguka.Sarawali ni vazi kama lingine. Tunavaa ili tujisitiri,kujikinga na wadudu, baridi nk.
Mawazo mengine ni mtazamo binafsi wa usongo wa akili elekezi katika njia isiyo sahihi.