TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Mimi nadhani nina matatizo maana hata wale wanaojitambulisha kama wadada humu, mfano wewe, Katerelo, Preta, na wengine huwaga nawawaza kimapenzi....yaani huwaga nawavua nguo kabisa!!!
Mimi huyu Preta, Nyamayao na Binti Maringo huwa nawatamani kweli kweli kimapenzi. hasa Nyamayao huwa napendaga sana anavyotoa hoja zake nadhani ni aina ya wale masista duu wanaojifanyaga wagumu flani kuwapata. Mwenyewe unajua demu mgumu kumpata alivyo mtamu pale anapoingia kingi!!!
Ila sometimes huwa nawaza isije kuwa tuna-fantasize na maza zetu humu ndani, Mods Bana kama vipi lazimisheni watu kutaja umri wao wa kweli humu ndani:yield: