Akina dada siku hizi mmekuaje???

Jumboplate, mambo!!! Nikuulize, are you involved with anyone of female gender???
 
wawe nataka staki.............!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna raha yake ati. Ila hata hivyo tatizo kuna mademu we unamtongoza anakupga kalenda wakati kuna jamaa wengine kibao wanamega tu. Yaani huwa inabooooooooooooooa
 

hali hiyo ya 'kufukuzia 'bado ipo ila wakati anangojea JIBU la 'anayeremba'... anakuwa anjinafasi na yule'asiyeremba'...:kev:... wadada wanchelea mwana kulia..!!
Mzee nimecheka mno hapa
 
Ladies no further questions...u can see what u've done to our beloved brothaz!!!
 
Alikukubali chapchap huyo dada au alikuzungusha zungusha??

I cant say...coz siku hizi mi sio ile type ya wanaume ya kutongoza na maneno, I just use body language and whatever. Kwaiyo naweza kusema ilichukua muda kidogo kukubaliwa ila ile "kitu" ilichukua muda mrefu sana kuipata. And am talkin about my current sweetheart, wazamani(ex) ilikuwa nawatongoza kwa maneno alafu sha sha mambo yanajipa ila always didnt well baada ya kupata ile "kitu" coz we were all after that "thing" i guess!
 
Ladies no further questions...u can see what u've done to our beloved brothaz!!!

Look here playa, let me give you the lowdown. In this world there is a surplus of women. Now, unless you got time to deal with her dilly-dallying and whatnot, then I can understand. But for me, I ain't never had a woman problem. Kinda like Jigga, I got 99 problems but a bitch ain't one. Ukinizungusha tu kidogo I move on to the next one. Remember, there is a surplus of women in this entire wide world. Wherever you go, wherever you are, women are going to be more than men. We men, soon are going to be an endangered species.....so enjoy your manhood while you can. As for me, I live my life everyday as if there is no tomorrow. Shoooot
 
Nafikiri unaongelea uzoefu wako. Pia zamani ulikuwa ndio unaanza mambo haya; sasa unaona rahisi baada ya kuyajua vizuri na kupata uzoefu. Wadada wanawakubali wanaume kwa sababu nyingi: 1. na wao kupata raha; 2. pesa; 3. misaada kama kimasomo, kikazi (ikiwemo no. 2); 4. na wao wanapenda na kukuonyesha ishara, hivyo ukibonyeza tu kitufe hata saa mbili ni nyingi; 5. mazingira nayo uchangia - mnalala chumba kimoja wawili tu au umepewa dada wa mtu umfikishe DSM na kumpeleka anapofikia mgeni kabisa - mnafika usiku sana si itabidi alale kwako! Au mitungi imeteremka kiunoni!! 6. malaya!
 
Lugha hiyo. Halafu pamoja na kuwa game tunapiga wote lazima ujue kuwa kila mwanamke anavyozidi kumegwa ndivyo anavyozidi kupoteza mvuto ndo maana generally kwenye ngono mwanamke ndiye anatumika, ni mtazamo tu.
 

Pia kuna wale ambao biological clock yao ina-tick....hawa huwa wako vulnerable sana. Maana hajui cha kufanya....anakuwa anacheza pata potea tu. Boy I tell ya...I'm glad I was born a man
 
Tatizo si hilo kama tunalolifikiri, tatizo kuwa sasa hiyo imekuwa biashara ,ukimtongoza mwanamke akikaa muda mrefu anajua kuwa utachukua ngoma nyingine, anakukubalia, anakunywa bia zako, anakupa uroda na unamkatia pesa yake, akichelewa kukujibu fursa hiyo atapata mdada mwingine,
 
Am witchu brotha! but am talking about THAT one gal who's supposed to give u chillz whenever u see her...they are not there anymore. Kuna ambao watakupagawisha for a minute but ukiwatokea tu una conclude kuwa "hamna kitu hapa" thats why u keep going on and on searching for "that one"
 
hapo umenitolea kikwazo.........yaani kosa tutende wote iweje mie ndo npachikwe jina??? yale yale mwanamke akikamatwa anazini apigwe mawe mpaka afe........wat happens to yule walofanya naye matusi???

Kiongozi hapo tupo sawa sasa!!!
we acha kuongea ongea tu. sheria ya kupigwa mawe inafanya kazi both ways siyo kwa mwanamke peke yake. Halafu bht huwezi kuibadili jamii kwa siku moja we angalia mtaani kati ya m/ke kicheche na me kiwembe ni yupi mwenye kudhalilika zaidi.
 

Whichever way you use to vibe whether body language au maneno muda ndo ishu kwako ya kukubaliwa. nilivyokusoma, wewe wapenda msichana achelewe kukubali kimapenzi fair enough to you and to all those of your type. but that doesnt mean kwamba kwa sie ambao hatuna muda wa kupoteza kumzungusha mtu kama tushampenda tushamfeel and stuff like that kuwa kuna tatizo. its a free world and let people live and decide anyhow they feel like it. hata hiyo zamani unayosemea wapo waliokuwa wanawakubali wanaume bila mzunguko. Upo hapo?
 

Dada hapa umeandika kwa hasira au?

Ila ahsante kwa taarifa kwenye red hapo........(Angalia kwenye PM tafadhali).:closed_2:
 

Ooooh now you are talking.

See, I think I got u wrong earlier..but you are talking about that ride or die chick....then one that when you think about her you get chills down your spine.....ahahahahahaha....man oh man....those ones are hard to find. They are like a needle in a haystack.
 
Nimekusoma vizuri tu. Ila a free world doesnt mean a right world...na ingekuwa a real free world why dont most of u galz approach us guyz??that means we are the chooserz and all u do is agree with us...
 

Me loves this comment....:A S tongue:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…