mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
kujipilizia perfume tele ni karaha hata kama perfume nzuri na bei kali. Perfume inatakiwa iwe wastani ili walio karibu nao wapendezwe na mnukio wako na wapende kuendelea kuvuta pumzi na sio kufika hata kuwa karaha kwa walio karibu nao. Kuna watu wanajimwagia perfume yaani mtu akiwa chumba cha tatu ofisi unaisikia harufu yake, aiiiiiiii inaudhi.