mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
wakinuka vikwapa mtawasema
wakijipulizia unyunyu mnawasema.....
Loh
kweli uanamke kazi.....
Sababu sio kaitia nyingi kuna perfume nyengine zina kua na harufu kali,na wengine hawajui ipi ya summer wala ipi ya winter wanasukuma tuu.kujipilizia perfume tele ni karaha hata kama perfume nzuri na bei kali. Perfume inatakiwa iwe wastani ili walio karibu nao wapendezwe na mnukio wako na wapende kuendelea kuvuta pumzi na sio kufika hata kuwa karaha kwa walio karibu nao. Kuna watu wanajimwagia perfume yaani mtu akiwa chumba cha tatu ofisi unaisikia harufu yake, aiiiiiiii inaudhi.
Too much perfume ndio ninayoiongelea hapa. Na perfume sio solution ya kunuka kikwapa!!!!
sikuwa najua kuwa perfume sio solution ya kunuka kikwapa...... Wasipopaka wananukia?
perfume inasaidia tu kupunguza harufu ya kikwapa sio solution (tatuzi), kama hujui solution ya kikwapa iliza wenzio au jaribu kukoga kwa kutumia sabuni ya chokaa
Bola umesemawakinuka vikwapa mtawasema
wakijipulizia unyunyu mnawasema.....
Loh
kweli uanamke kazi.....